Msanii wa bongo fleva,Ruby amesema kati ya wasanii wa nje anaotamani kufanya nao kazi ni Mr.Flavor kutoka Nigeria.
“kwa nje ningependa kufanya kazi na Mr. Flavour,jamaa ana experience ya muziki wa live,anajua..ukishajua miziki wa live huku kwingine ni easy” alisema Ruby.
Source:Bongo5Tv
0 comments:
Post a Comment