Saturday, March 5, 2016

10360908_644647625605056_3488724522355390467_n
10360908_644647625605056_3488724522355390467_n


Msanii wa kitambo katika tasnia ya filamu Bongo, Happy Nyatawe alikuwa akimuomba Mungu amjalie nafasi ya kuitwa mama bila mafanikio lakini hivi karibuni maombi yake yamejibu baada ya kupata mtoto wa kiume.Akizungumza na Ijumaa huku akitoa machozi ya furaha, Happy alisema amekuwa akiomba na kufunga atimize ndoto hiyo hivyo Mungu amesikia kilio chake.
10565737_674295585973593_744644501_n
10565737_674295585973593_744644501_n

“Jamani mimi nime muona Mungu sana, nyie ni mashahidi, leo hii na mimi naitwa mama, furaha niliyo nayo siwezi kuielezea,” alisema Happy.

0 comments:

Post a Comment