Posted by Williammalecela.com on Monday, March 28, 2016
Msanii wa Marvins Records Reekado Banks amekiri kuwa sta wa Baba Nla Wizkid hafai kufananishwa na yeye sababu WizKid ndio msanii kubwa zaidi kwake, ni mwalimu wake na amefungua njia kwa wasanii wachanga wa Nigeria.

0 comments:
Post a Comment