Mtangazaji wa kipindi cha maongezi wa muda mrefu nchini Marekani Chelsea Handler amepiga picha ya utupu kama alivyozaliwa na kuiweka instagram bila aibu.
Picha hii imetajwa kuwa ni kama ile ya Kim Kardashian na iliambatana na ujumbe>>‘I like to be naked because I don’t take my body seriously,’ she said. ‘People do, and that’s nice for them, but I think bodies are so silly.’

0 comments:
Post a Comment