
March 9 2016 Kupitia Hekaheka ya Clouds FM Geah Habib ametuletea Hekaheka iliyotokea Kinondoni, Dar es salaam ni madai ya mtoto wa miaka 9 aliyetolewa Iringa kwa ajili ya kuja kufanya kazi za ndani Dar es salaam
‘Kama kweli kuna uwezekano wa kumrudisha huyu mtoto kwao arudi tu kwao tumechoka sisi kama majirani, leo mimi nilkuwa bondeni nachota maji nikamkuta amepigwa ndio jirani mwingine akamsaidia kumtoa kwenye geti, roho inauma sana kwasababu huyu mtoto ni mdogo sana na ni mwanafunzi‘>>>Majirani
‘Mimi naitwa Sophia kwetu kabisa ni Iringa nimeambiwa nije huku kufanya kazi, alafu huyu mama ananipiga, ananiambia nijaze mapipa manne maji alafu siku nyingine nanyimwa hata chakula, nalalaga njaa kwa mfano juzi pia nimelala njaa alafu mama pia ananikatzaga nisioge‘>>>Sophia mtoto wa miaka 9 anayefanya kazi za ndani
Stori kamili bonyeza Play hapa chini nimekuweka…..
0 comments:
Post a Comment