Benson Msemwa Lovely,
Watoto wetu ni furaha na hazina zetu
Watoto wetu ni furaha na hazina zetu
Kidunyu Chale Renat Full tabasam .
Lupakisyo Kapange MHE. Ridhiwani Kikwete MUNGU AMPE MAISHA MAREFU BABA YETU RAIS MSTAAFU MHE. Jakaya Kikwete WANATANGA TUTAMKUMBUKA SANA KARIBU SANA TANGA.
Mwinyi Lukwele Mzee amependeza hatr na wajukui wake
Leodgard Vincent Singila Kavishe Hahahahaha
Amina Omary Mashaallah
Kimeta Wa Mpui Jakaya wa 2
Grace Fihavango aaaah my president you look FIT,God bless wewe so much.
Valentino Maganga Daudi hongera kwa kukuza
Ismail A. Shah Masha Allah
Fadhili Aminiel Mngazija Hakika inapendeza
Munde Tambwe Kila ninapomuona mh jakaya kazi yangu ni kunuombea kwa m.mungu ampe maisha marefu na kila lililo jema inshaallah
Wazir Ndonde retiring with no stress, hongera mzee, amani ya moyo iliijenga na nafsi yako.
Raphael M R Dioniz Hv yeye cyo jibu heeee
Elius Ndabila God be with our retiring presedent, long life babu mtu
Mussa Kidato nyc picture
King Julius Mbalwa nice mzee wangu wi miss u
Richard Machange Safi sana, raha kweli ukipata wajukuu ukiwa kijana bado. Mungu bariki
Godwin Makomba Mtani hongera sana
Alhaj Mmala Rashidi Hongera mjomba mpe hi kutoka kwa alhaji mmala ruangwa
Grace Mallya Ni Rehema na Neema za Mungu kuona uzao wako Wa Pili ni Jambo la kumshuru sana Mungu.
Mwaija Nilongo Mashaallah
Mufindi Muungano Hongera sana
Fatma Mkoga Mwenyez mungu amkuze inshaallah....


























0 comments:
Post a Comment