Sunday, March 20, 2016



March 19 , shindano la miss Tanzania lilizinduliwa Jijini Dar es salaam katika Hotel ya Ramada Resort na kuhudhuriwa na Waziri wa Habari, Sanaa Utamaduni na michezo Nape Nnauye na kufanyika bonge la show kutoka msanii Linah.


Linah na Mashabiki

Liliani Deus (Miss Tanzania 2014/15)

(Kushoto) ni mshiriki wa Miss Tanzania miaka iliyopita (Faudhia Fyeka)


Muandaaji wa Miss Tanzania, Hashimu Lundenga, (kulia)

Linah na warembo



0 comments:

Post a Comment