.
Ikiwa
zimepita wiki mbili tangu kutokea kwa ajali Kimara Dar es salaam,
Usiku wa kuamkia March 25 kumetokea ajali nyingine Kimara Baruti ambapo
basi la Princes Murolenye usajili namba T 551 BQP limevamia kituo kipya cha abiria.
Taarifa
rasmi zinasema kuwa basi hilo lilokuwa likitokea Arusha kuja Dar es
salaam halikuwa na abiria wala hakuna aliyefariki, kwa mujibu wa
muhusika wa basi hilo alisema wakati basi hilo lilipopata itilafu maeneo
ya mto Wami wahusika walichukua uamuzi wa kuwaamisha abiria wote
kutoka kwenye basi hilo na kuwapeleka kwenye basi lingine kwahiyo mpaka
linaingia Dar na kupata ajali halikuwa na abiria.
.
.
.
.
.
.
.
.
0 comments:
Post a Comment