March 5 2016 Staa wa kugani mashairi bongo Mrisho Mpoto alizindua rasmi video ya mdundo wake mpya aliomshirikisha Banana Zoro na kuupa jina la ‘Sizonje’, katika kuhakikisha support inakuwa kubwa zaidi Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Nape Nnauye pia aliungana namastaa wengine mbalimbali katika kumsindikizaMrisho Mpoto.ilipata nafasi ya kuyapata matukio katika picha, na zote hizi tayari nimekusogezea…
Kutokea kushoto Ruge Mutahaba, Paul Makonda, Waziri Nape Nnauye na Mrisho Mpoto
Mrisho Mpoto akizungumza na waalikwa
Dokta Mwaka akimsikiliza Mrisho Mpoto (Mrisho hayupo pichani)
Shilole na Stan Bakora
Butogwa Charles Shija-Mshindi wa kwanza matokeo ya kidato cha nne 2015
Congcong Wang-Mshindi wa pili katika matokeo ya mtihani wa kidato cha nne 2015
Director Hanscana akizungumza na waalikwa
0 comments:
Post a Comment