Mwanamuziki wa Kundi la Bongo Fleva, Aika akiongea na mashabiki wake usiku wa kuamkia leo katika uzinduzi rasmi wa Kamatia Chini Lights UP Tour ndani ya New Maisha Club Dodoma.
Nahreel akiwaimbia wimbo wao mpya wa Kamatia Chini.
Mashabiki wakiendelea kupata burudani kutoka kwa kundi la Navy Kenzo.
Shangwe zikiendelea ndani ya Maisha Club Dodoma.
Aikaakifanya yake.
Meneja wa Burudani wa Maisha Club zote, Hemed Kavu 'HK' akiwa katika pozi.
WAPENZI wanaounda kundi la Navy Kenzo, Nahreal pamoja na Aika Machi 6, 2016 wamefanya uzinduzi rasmi wa Kamatia Chini Lights UP Tour ndani ya Maisha Club Dodoma.

















0 comments:
Post a Comment