Usiku wa March 5 tasnia ya Bongo Movie iliingia kwenye headlines Lagos Nigeria, baada ya wasanii wawili kushinda tuzo za Africa Magic Viewer’s Choice Awards2016 zilizotolewa Lagos Nigeria, Single Mtambalike maarufu kama Rich Richie usiku wa March 6 kuamkia March 7 aliwasili Airport Dar na tuzo yake ya filamu bora yaKiswahili aliyoshinda Nigeria
Kulia msanii wa filamu Niva alikuwepo kwenye mapokezi
Aliyevaa kofia ni Prince na aliyeshika maua ni Darleen wote watoto wa Single Mtambalike
Mke na watoto wa Single Mtambalike
Single Mtambalike akiwasili na tuzo Airport Dar kulia ni Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Simon Mwakifamba na kushoto ni katibu mtendaji wa bodi ya filamuJoyce Fisoo
Single Mtambalike akimbusu Darleen baada ya kupokea ua kutoka kwake
Furaha ya waliojitokeza ikabidi wambembe kwa furaha
Alivyodakwa na Camera za waandishi
Furaha ya ushindi ikabidi aungane na mashabiki kucheza
Baada ya mapokezi hapo hapo Airport ikatolewa keki
Mama mzazi wa Single Mtambalike akila keki
Mama na mwana
Single akimlisha keki mama mkwe wake
Kutoka kushoto ni mama yake mdogo na Single na baba yake mzazi Rajabu Mtambalike
Prince akilishwa keki na baba yake
Katibu mtendaji wa bodi ya filamu Tanzania Joyce Fisoo akimlisha keki Single
Dude akila keki
JB akila keki
U
0 comments:
Post a Comment