Sunday, March 13, 2016

March 11 2016 Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira na Mbunge wa Bumbuli Mh .January Makamba aliwatembelea wanakijiji wa kata ya Usambala kijiji cha Mpunda na kijiji cha Kihitu na Bazo vilivyopo kata ya Vuga.
Makamba ametembelea vijiji hivyo ili kuwashukuru wanakijiji hao kwa kumchagua tena pia kuendelea kukiamini Chama cha Mapinduzi, pamoja na ilo Makamba amekagua miradi mbalimbali ya kimaendeleo na kupokea kero za wananchi na kutafuta majibu ya namna gani wanaweza kukabiliana nazo.
Hapa nimekuwekea picha 20 alipotembelea vijiji hivyo
January Makamba akizungumza na wanakijiji wa jimboni kwake


U

0 comments:

Post a Comment