Saturday, March 19, 2016

pREZZOCMB
pREZZOCMB
Kwa wali waliowahi kuhisi kuwa Prezzo wa Kenya anaugua na gonjwa hatari kwa sasa duniani la HIV basi staa huyu amewatoa mashaka baad aya majibu ya kipimo cha H.I.V kuonyesha yuko Negative.

Prezzo aka Jackson Makini Ngechu aka CMB Prezzo, ameweka majibu yake mtandaoni kama ushahidi kwa wale waliosema kukonda kwake kumesababishwa na gonjwa hilo.
prezzo
prezzo

0 comments:

Post a Comment