Sunday, March 13, 2016

4Mzee Yusuf nae akiimba huku akinengua.
1   Hadija Yusufu akiimba.

2  Twaha  Malove nae akiwapagawisha mashabiki.
3   Fatma Mcharuko akiimba na kuserebuka.
5   Mzee Yusuf akicheza na wanenguaji wake.
6   Amigo (mwenyeshatijeupe) akiimba huku akiserebuka na wanenguaji hao.
7   Mashabiki waliofurika ukumbini humo wakiserebuka.
8   Baadhi ya Mashabiki walio vamia jukwaa wakicheza na wanenguaji wa bendi hiyo.
9   Jukwaa la Dar Live likiwa limempandisha mwimbaji Amigo juu kabisa huku akiendelea kuimba.
10  Baadhi ya waimbaji wakiwajibika jukwaani.
Bendi ya Taarabu ya Jahazi usiku wa kuamkia leo ili fanyaonyesho katika Ukumbi wa Taifa wa Burudaniwa Dar Live uliopo Mbagala jijini Dar es Salaam na kuwapagawisha mashabiki kibao waliojitokeza kiasi cha kuwafanyabaadhi yao wasitulie katika viti vyao.

0 comments:

Post a Comment