Baada
tu ya kuolewa, muimbaji huyo wa kundi la Shosteez, alifungua kampuni
iitwayo Meninah Investment ambayo kwa anachokiandika, mambo yanaonekana
kuwa yanamwendea fresh.
“I don’t give anyone a reason to hate me.
They create their own drama out of pure jealousy…….musclemoney
weekmuscleyoung and ambitious I choose what makes me happy just leaving
uncomplicated,” ameandika kwenye picha hiyo juu.
Kwenye picha nyingine akiwa ofisini kwake, Meninah ameandika: Work work work C.E.O always incharge……..”
“At office cooperate look for my cooperative clients my company my business my dollars,” aliandika kwenye picha nyingine.



0 comments:
Post a Comment