Wednesday, March 23, 2016


Maisha anayoishi msanii wa Nigeria, Davido kama humfahamu unaweza kushtushwa kidogo, Mbali ya mamilioni anayoyatengeneza kupitia muziki lakini pia ametokea kwenye familia ya kitajiri.

Imeripotiwa kuwa polisi wa Marekani wameshtushwa na maisha ya kitajiri ya msanii huyo na kuamua kuvamia nyumba yake ya kifahari iliyopo  Atlanta, Georgia nchini humo ili kufanya uchunguzi.
davidoooooo
Hatahivyo Davido aliwaambia yeye ni msanii na kuwaonesha Video zake za Youtube, Polisi hao walishawishika baada ya kuona idadi za watazamaji wa video zake.
e, Polisi hao walishawishika baada ya kuona idadi za watazamaji wa video zake.

Polisi walidhani msanii huyo anaingiza pesa kwa njia za kihuarifu.

davhgj

0 comments:

Post a Comment