March 7 2016, Jeshi la Polisi Dar es salaam lilitoa ripoti ya makusanyo yote yaliyopatikana baad ya zoezi la ukamataji wa makosa ya usalama barabarani kwa kipindi cha kuanzia mweziFebruary 28 2016 hadi March 7 2016.
Kamanda wa Polisi kanda maalim ya Dar es salaam, Simon Sirro alipata time ya kuongea mbele ya waandishi wa habari na kusema ‘Hatusemi kwamba lengo letu kukusanya mapato mengi kwamba ni sifa sana kwetu, hapana tunafanya hivyo ili watu wafuate sheria na hatufanyi hivyo ili kuwakomoa watu, kikubwa kufuata tu sheri‘‘
Unaweza pia kuitazama hii video wakati kamanda Sirro akiyaeleza hayo……

0 comments:
Post a Comment