Wednesday, March 9, 2016

 Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (wa pili kutoka kulia) akikata utepe kuashiria ufunguzi wa mgodi. Wa kwanza kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Zelothe Stephen
 Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kushoto) akiwasili katika mgodi wa dhahabu wa Cata Mining. Kulia ni Mkurugenzi wa mgodi huo, Mahuza Nyakirang’ani.
 Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (katikati) akikagua shughuli zinazoendelea mgodini hapo. Kushoto kwake ni Meneja wa mgodi huo, Peter Bourhill na kulia kwake ni Mkurugenzi wa mgodi,  Mahuza Nyakirang’ani.

 Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akisalimiana na baadhi ya wananchi kutoka vijiji vya jirani na mgodi wa Cata Mining waliohudhuria mkutano wake wa hadhara ili kujadili masuala mbalimbali.
 Meneja wa mgodi wa Cata Mining, Peter Bourhill akimweleza jambo Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo alipokua akikagua mgodi huo. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa mgodi,  Mahuza Nyakirang’ani.

0 comments:

Post a Comment