Robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho kuchezwa Mwezi Machi mwishoni
Robo Fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) inatarajiwa kuchezwa wikiendi ya mwisho wa mwezi Machi mwaka huu, huku timu nane zikichuana kusaka nafasi ya kuingia hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo.

0 comments:
Post a Comment