Posted by Williammalecela.com on Wednesday, March 02, 2016
 |
| Rais Mstaafu Dr. JK akipokea salam za Pole toka Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Ndugai alipokwenda kumpa pole kwa kuondokewa na kaka yake mkubwa Marehemu Mzee Selemani aliyefariki akitibiwa nchini India Majuzi. Mwili wa marehemu unatazamiwa kurejeshwa kesho mchana na atazikwa Msoga, Chalinze siku ya Jumamosi. |
0 comments:
Post a Comment