
Staa wa muziki Diamond Platnumz amekanusha taarifa za kwenye mitandao kwamba amempima mtoto wake Tiffah vinasaba ‘DNA’ ili kupata uthibitisho wa kuwa ni mwanawe au sio mwanae.
Akizungumza katika kipindi cha Enewz cha East Africa Television, Jamatano hii, Diamond alisema kumpima mtoto wako DNA ni kutojiamini na yeye hawezi kufanya hivyo.
Pia alisema alianza kumjua Tiffah akiwa tumboni.
Pia Diamond ameweka wazi kuwa picha inayomuonyesha akilia ni ya show yake ya Dar Live.
DIAMOND BIG UP!WE JAMAA NI JEMBE!KEEP IT UP!UKIPENDA BOGA PENDA NAMUA YAKE.MPENDANE HIVYO HIVYO BEST NA HUKU UNAFANYA MAVITU YAKO,KWENYE MASTAGE.BEST UKO JUU! WACHANA NA WANAOKUKATISHA TAMAA!INGIA HADI KWENYE MAPROMO YA UTALII WETU!USIONE NOMA KUWAVAA NA KUELEZA UTAKAVYOWEZA KUPIGA NAO DEILE PIA!MBONA UNAWEZA SANA TU BINGWA!!
ReplyDelete