Thursday, March 24, 2016

the-weeknd-rihanna
Msanii mkubwa anayeshikilia sehemu kubwa kwenye ziara ya Rihanna ya “ANTI World Tour” The Weeknd amejitoa kwenye ziara hio.

Roc Nation imetangaza kuwa msanii huyu hatakuwepo kwenye ziara ya Rihanna  na nafasi yake imechukuliwa na Abel na Big Sean.

0 comments:

Post a Comment