T.I. na Tiny wamepata mtoto wao wa saba na mtu wa kwanza kutoa taarifa hizi alikuwa mpwa wa T.I ‘Kamaya Harris’.
Mke wa T.I alikuwa na msanii mwenzake wa kundi la Xscape ‘Kandi Burruss’. Mpaka sasa hatuna jina la mtoto huyu ila majina ya watot wa familia ya T.I ni haya, Messiah, Domani, Deyjah, King, Major na Zonnique.
0 comments:
Post a Comment