
U Heard ya Soudy Brown kupitia XXL ya Clouds FM March 8 2016 leo inamuhusu Baba mzazi wa msanii kutoka kiwanda cha Bongoflevani Q Chila kutolewa vitu vya ndani nje ya nyumba yake, Soudy Brown amefanya interview na Manager wa Q Chila na stori ilikuwa hivi.
‘Mimi nilipata taarifa juzi tu alafu hii taarifa ya kutolewa vitu nje imenishangaza sana wala sikutegeme iwe hivyo, Juzi Q Chila alinifata akaniambia mzee alishawahi kukopa hela huko nyuma na dhamana ilikuwa ni Nyumba nikwamwambia sawa na akaniambia swala sahivi limefika Mahakamani‘ QS Muhonda
0 comments:
Post a Comment