Ndugu zangu wana group kuanzia sasa mtu akikuomba umtumie pesa kwenye namba fulani atakama namba unaijua usikubali mpaka umpigie uhakikishe kama ni yeye kweli. Kuna mchezo umeingia wa kublock namba yako kwa muda kisha waanaitumia kuomba watu pesa kwa ndugu au jamaa zako wa karibu. Kuna mtu ameibiwa milion moja akijua anamtumia mkewe. Na wanaofanya mchezo huu ni wezi wanaoshirikiana kikamilifu na wafanyakazi wa voda,tigo na airtel. Ukipata ujumbe huu wajulishe na mmarafiki na ndugu zako wote wasije wakaibiwa. Hiyo process inaitwa Spoofing.
Tuesday, March 8, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment