Thursday, March 17, 2016

Peter-psquare
Mashabiki wa muziki Nigeria wameweka wazi kuwa hawana mpango wa kukubali kutengana kwa P-Square na kwamba wataendelea kumwita Peter Okoye kwa jina lake hilo na sio MR P kama alivyotangaza hivi karibuni.

Peter amefanya show hivi karibuni Abuja Nigeria na anashow nyingine Dubai April 7th, 2016.
Stori kubwa kwa sasa inahusu meneja mpya aliyetambulisha na Peter Okoye bwana ‘Olatunde Micheals’ atakaye simamia kazi zake kama solo artist.
Meneja wa Peter Okoye 2 Meneja wa Peter Okoye 3 Meneja wa Peter Okoye 5 Meneja wa Peter Okoye

0 comments:

Post a Comment