Posted by Williammalecela.com on Tuesday, March 01, 2016
Mambo safi! Mambo mkunjo.
Hii ni scooter ambayo unaweza ukaikunja na kuvuta kama tu mfuko.Ina kilo 24 na inatumia lita moja ya mafuta kwenda umbali wa kilomita 90. Bei yake ni kama dola mia 600.
0 comments:
Post a Comment