The 4th Africa Magic Viewers Choice Awards that were held at the Eko Hotels in Lagos, Nigeria lived up to everything they were billed to be and more!
There was stunning fashion, top-notch presenters, thrilling performances and of course big winners for the night! Have a look at who walked away with a prestigious AMVCA award this year:
BEST TELEVISION SERIES
WINNER: ARIYIKE OLADIPO – DADDY’S GIRLS
BEST ACTOR IN A COMEDY (MOVIE/TV SERIES)
WINNER: FOLARIN FALANA – JENIFA’S DIARY
BEST ACTOR IN A DRAMA (MOVIE/TV SERIES)
WINNER: DANIEL K. DANIEL – A SOLDIER’S STORY
BEST ACTRESS IN A COMEDY (MOVIE/TV SERIES)
WINNER: FUNKE AKINDELE – JENIFA’S DIARY
BEST ACTRESS IN A DRAMA (MOVIE/TV SERIES)
WINNER: ADESUA ETOMI – FALLING
BEST MOVIE – SOUTHERN AFRICA
WINNER: JOYCE MHANGO CHAVULA – LILONGWE
BEST SUPPORTING ACTOR
WINNER: SAMBASSA NZERIBE – A SOLDIER’S STORY
BEST SUPPORTING ACTRESS (MOVIE/TV SERIES)
WINNER: TUNBOSUN AIYEDIHIN – BEFORE 30
BEST SHORTFILM OR ONLINE VIDEO
WINNER: OLUSEYI AMUWA – A DAY WITH DEATH
BEST INDIGENOUS LANGUAGE MOVIE/TV SERIES – YORUBA
WINNER: ABIODUN JIMOH AND JUMOKE ODETOLA – BINTA OFEGE
BEST MOVIE – WEST AFRICA (DRAMA/COMEDY)
WINNER: CHINNY ONWUGBENU, GENVIEVE NNAJI, CHICHI NWOKO – ROAD TO YESTERDAY
BEST INDIGENOUS LANGUAGE MOVIE/TV SERIES- IGBO
WINNER: PAUL IGWE – USEKWU IGBO
BEST INDIGENOUS LANGUAGE MOVIE/TV SERIES – HAUSA
WINNER: SALISU BALARABE – DADIN KOWA
BEST INDIGENOUS LANGUAGE MOVIE/TV SERIES – SWAHILI
WINNER: SINGLE MTAMBALIKE – KITENDAWALI
BEST MOVIE – EAST AFRICA
WINNER: ELIZABETH MICHAEL – MAPENZI
BEST OVERALL MOVE
WINNER: STEPHANIE LINUS – DRY
BEST WRITER OF A MOVIE / TV SERIES
WINNER: TRISH MALONE – AYANDA
BEST COSTUME
WINNER: UCHE NANCY – DRY
BEST MAKEUP
WINNER: LOUIZA CAROLE – AYANDA
BEST LIGHTING
WINNER: STANLEY OHIKHUARE – COMMON MAN
BEST DIRECTOR
WINNER: AKIN OMOTOSHO – TELL ME SWEET SOMETHING
BEST PICTURE EDITOR
WINNER: SHIRLEY FRIMPONG – MANSO
BEST DOCUMENTARY
WINNER: REMI VAUGHAN – RICHARDS
BEST ART DIRECTOR (MOVIE/TV SERIES)
WINNER: FRANK RAJA ARASE – THE REFUGEES
BEST CINEMATOGRAPHER
WINNER: PAUL MICHAELSON – TELL ME SOMETHING
BEST SOUND EDITOR (MOVIE/TV SERIES)
WINNER: MARQUEX JOSE GUILLERMO – DRY
Congratulations to all the phenomenal winners!
wengine wanasema alikuwa anaishi oman,ila ni m znz.humu naona alikuwa anaishi ilala.sasa sijui ukweli ni upi.kuna jamaa mmoja anasema omani ni jirani yake.na hiyo issue ni kweli.sasa sijui ukweli ni upi
ReplyDeleteMZanzibari wapi kwao anatotea Tanzania bara kwa nilivyosikia mie
DeleteHuyo simtanzania huyo ni raiya wa oman
DeleteWilliam mi nahisi kuna ukweli ila kama familia walikupigia kuficha aibu lakini wamesahau kwamba habari zikiisha fika kwenye hii mitandao ni balaa it's either wange kaa kimya kabisa kuliko walicho fanya maana ndo inawapa watu attention ya kutaka kudig deeper.
ReplyDeleteFundisho kwetu sisi km hii biashara hairuhusiwi popote duniani na madhara yake makubwa..alifanya hii biashara mrembo huyu na adhabu yake anaijua kabla hapo...wanasababisha vifo watu km hawa wacha apata adhabu pia...na inaonekana sio mara ya kianza..za mwizi arubaini
DeleteHasbiallah wanemal wakil ww ata kama muislam mwenzako kafanya ichi kitu unatakiwa umuombe hujui na ww litakukuta nn mbeleni kama mwenye mungu anajuwa kusameh basi ww huwezi ukashadidiya mwenzako anyongwe u neva knw ww litakukuta nn hujafa hgujaumbika leo mtoto wa mwenzako kesho wa kwako
DeleteKwenye sheria hakuna sympathy. Sheria linatizama uthibitosho. Huyu bibi ikiwa kweli hakujua kama pana madawa kwenye mzigp wake basi sheria litambana atamhukumia kwa mujibu ya destury lkiwa alikuwa anafahamu kabeba madawa tena hautakiwa kumonea huruma sababu yeue kaipuza na hakuijali maisha yake. Na hii nimasomo kwa wengine. Hapa huyu bibi atapata anachostahiki tumombe Allah atuhifadhi
DeleteKama kuna uwezekano wowote wa kidipolmasia ,ufanyike ili kuokoa maisha ya huyu binti.
ReplyDeleteKunyongwa hanyongwi so people stop publishing kwasababu egypt hamna sheria ya kunyongwaa
ReplyDeleteHuyu binti amekamatwa akiwa na passport ya oman na nchi kama hio haiwezi achia raia wake hivihivi. Nina imani kubwa sana Oman watafanya masuala ya kidiplomasia na misri ili akafungwe kwao oman. Lkn angekuwa mbogo ndo safari tena 1 kwa 1
DeleteEgypt wanayo sheria ya kunyonga ukikutwa na madawa ya kulevya ila inachukua miaka mingi mpaka kunyongwa. Kama kweli ananyongwa ijumaa basi alikamatwa miaka mingi iliyopita. Pia huyu video inaonesha passport ya oman so ubalozi wa tanzania haiwezi kuwahusu. Wengi tu wananyongwa egypt kwa madawa ya kulevya hata waingereza.
ReplyDeleteSheria ya kunyongwa ipo kwan gazeti la metro uk jana nako limetangaaza kuwa muingereeza amekamatwa nna unga na anahukumiwwa kifo
ReplyDeleteSheria ya kunyongwa ipo kwan gazeti la metro uk jana nako limetangaaza kuwa muingereeza amekamatwa nna unga na anahukumiwwa kifo
ReplyDeleteana wazazi wake oman napassport ya oman lkn alikuwa akishii dar,bora kama hatonyongwa lkn awe amejifunza na kuacha tabia hiii haramuu,,mmungu awaongozee wanawake wote wanaofanya biashara hii kuacha mara moja,,ameena
ReplyDeleteThis girl has omani passport so ni raiya wa oman oman wameomba wakamfungiye kwao na habari za kunyongwa ni uongo
ReplyDeletewa bongo kwa kudakia ma train yen ya mabehewa ya mazigo hatujambo Kama jamaa alivyosema Misri hakuna hukumu ya kunyonga mtu imetolewa zamani sio Bangok ndio wana shoot na America ukiuwa wao wana kupiga sinda no ya kukuuwa, ila tumuombee mungu wengine pia mjifunzie hapo muache tamaaa someni dini na elimu ya dunia husda ndio zinawapoteza. MHz
ReplyDeletesubhanallah inshallah m.mungu atamsaidia.
ReplyDeletekwa upande wangu kama kweli anahusika na madawa ya kulevya hilo ninkosa kubwa sana, ila itakuwa kuna mtu kampa mzigo huo apeleke sidhani kama utakuwa mzigo wake, kwa Tanzania sidhani kama kutakuwa na imani ya kuweza kumuombea asamehewe kutokana na nyoyo chafu, nakama kweli wanayo imani hiyo tuone mfano kwa huyu binti hapo ndio utakuwepo uhakika wa kuwa na nimani na watanzania, ingekuwa mzungu hapo ndio ungeona thamani ilivyo, kwa upande wangu kama ningeweza kumuombea.msamaaha mimi nipo tayari
ReplyDeleteAngefanikiwa je tungefanyaje,maana alikuwa na uhakika wa anachokifanya,everyone should be countable and responsible for your action. Atakuwa katumwa tu, si aseme aliyemtuma
ReplyDeleteAta akimtaja aliyemtuma it won't help n she needs to prove it so wazo lakoo sio zuri ata akimtaja haisaidii
DeleteWauza unga ni adui ya jamii mwache hukum ipite itakuwa fundisho la wengine
ReplyDeleteKama ww ni musilam basi ata kama muislam mwqenzako kafanya kosa hilo huwezi kumuombea mabya ikiwa mwenyezi mungu anaweza kumsameh basi ww sio wakumuombea mabaya ukumbuke hujafa hujaumbika lolote linaweza kukutokea ww au vizazi vyako mungu akunusuru but sio sawa kumuombea ivo
DeleteUnasema ndugu zake wamekataa mbona kuna video inaonyesha amekamatwa.
ReplyDeleteMnatuchanganya nyie wabongo.
Kuhusu uraia. Huyu si muomani!? Au nimeona vibaya??
Unaeseme sio mu-Oman, tazamatena video clip uutaona passport yake. Punguza haraka tazama kwa utaratibu.
Deletehttp://www.youtube.com/watch?v=vg19ZYsEhrA&feature=youtube_gdata_player
ReplyDeletenani kakudanganya Egypt hawanyongwi? wananyongwa.
ReplyDeleteMimi nasema "Kwake (Allah) tutarejea na kila mmoja atalipwa kilichochumwa na mkono wake"! Kwanza huyu binti sio mtanzania, wengi wanaporejeka kaeni chonjo leo habari kwa pesa kesho bure! Ukweli utaibuka.
ReplyDeleteinaniuma ile mbayah maskin iliyobak 2muombe 2 na 2subir khatwah yake allah awe nae
ReplyDeleteSheria ya kunyongwa ipo Egypt
ReplyDeletenani kakudanganya egypt hamna sheria ya kunyongwa wewe... ukishikwa na madude ni death Penalty. huyo ni mtanzania ila anapasport ya oman
ReplyDeleteEgypt hunyongwi kesho is ndo ijuma tutaona sasa hanyongwii miaka 200 msolijuwa litawasubuwa ata uko dubai hawanyongi unapewa adhabu 2 unyonge kwani umeuwa
Deletekama kafanya basi haki yake kunyongwa, annyongwe ili kuokoa maisha ya wengi watakaotumia hayo madawa yake
ReplyDeleteAnyongwe awe mfano kwa wengine eenyekutak a pesa kwa kuharibu mais h a ya vijana wrtu
ReplyDeleteBiashara hii imeshamiri sana dunia mzima ukweli hawa vijana wanatumiwa tu nawenye mtandao huu kwa tamaa na kutokujielewa (ujinga) kutamani utajiri na matanuz ya kidunia mwisho wa siku ndo hayo yanayowakuta sasa hili ni somo kwa wale vijana wa aina hii tuombe mola awaepushe vijana wetu na msiba huu
ReplyDeleteNo body can take a life of a human being only God can. And if a human takes the life of another human, his soul will answer on judgement day.
ReplyDeleteAnd this woman who did wrong must be punished according to the law. Not take her life
Kama kunyongwa anyongwe stahil yake alimtuma nani. Uyo bint co Tanzanian ni muoman kazaliwa Burundi uyo kazowea kwanza angalia picha zake ye mwenyewe mteja tizama picha zake hana hata heshima za kislam kwa hiyo co hasara kunyongwa hata leo anyongwe hana huruma najmii kusambaza unga je nani atamuonea huruma
ReplyDeleteلا حول ولا قوة الا بالله اللهم اهدنا الى صراط المستقيم..
ReplyDeleteهذي مفروض يعدموها لاان بتكون درس لكل انسان وهذا يسبب ضياع لأخوان وأخواتنا المسلمين ومفروض ما يسمحوا لها السجن وإنما الاعدام .. وهذي اصلا ما مسلمه ما خايفه ربها لابسه لبس حرام واحسن يعدموها حتى اليوم وتستاهل.
قال الله تعالى ( ولا تلقوا ايديكم الى تهلكة(
هذي ما مفروض ندعي لها هذي تفسد مجتمعنا الاسلامي وثاني شي هي وحده متزوجة ومفروض تعرف شو الصح وشو الغلط وقبل ما نرتبك اي خطأ مفروض نتوقع احتمالات اللي راح يصير لنا.
الله يهدينا ويهدي جميع المسلمين
Mmmhh!!?????
DeleteHuyu binti mimi namfahamu na nambari yake ya tanzania naijua ana ndugu hku tanzania ila yeye baba yake ndo alikua mwarabu wa oman na pia ndo sababu ya yeye kupata passport ya oman na yeye ni raia wa oman kwahyo atahukumiwa kupitia sheria za nchi yake na kama oman wataruhusu ahukumiwe misri atahukumiwa kunyongwa na kama oman itamtaka raia wake kwa sheria za oman atafungwa kifungo cha maisha !!!! Sasa hapo tena sjui??????!!!!!!!!!!
ReplyDeleteHukumu kama imepangwa kweli itapita tu !!!! Oman wakikubali raia wao ahukumiwe juu ya sheria za misri atanyongwa tu! Na wakikataa wakitaka wamhukumu wao wenyewe oman watamfunga kifungo cha maisha !!!!
ReplyDeleteKunyongwa hanyongwi atafumgwa maisha Mungu amsaidie fundisho kwa mapusha!!
ReplyDeleteHilo ni fundisho kwetu sote lakini binadam hatusomi na wala hatukinai tuombe tuwe na roho za kukinai kwani hapa tunapita tu sie tunaona tushafika. Pili kakusudia kuangamiza uma kasahau what goes around comes around ,leo tunataka ubalozi umuombe what about watu wangapi angewaangamiza tuombe Allah awasaidie kuwacha na wengine wasiingie amin
ReplyDeletewain shakartum laazidannakum wain kaffartum lana kunna minal khasiriin..
ReplyDeleteMkishukuru mtaongezewa na mkikufuru mtakuwa miongoni mwa wenye khasara kubwa.
Allah atujalie sie na vizazi vyetu kuchuma.chumo la halali...
Wenu KIROBOTO.
Suleiman umeona wapi mtu akamatwe misri na sheria zitoke Oman ? Na haiwezekani mtu akamatwe week tu alafu anyongwe ..habar za kuzungurushana tu lakin ukweli anaujuwa mwenyewe fatma na jamaa zake wakaribu
ReplyDeleteJamani huyu dada ana damu ya kitanzania ila si mtanzania ni muoman.wa oman na wa misri hawanyongani unafungwa 10 to 15 yearz.mbona wa misri wengi wanakamatwa oman.
ReplyDeleteoh fatma alharthy alla atamsaedya enshallah fatma ne muoman anezakewa tz na wazazy wake wapo chicago anaeshe na mama ake na ndugu yake mwanamke ajewa anafanya kazy ya promotion na anapena kusaga wanawake wenzake ela navojua me kuwa hana mtto huyo mtto seo mwanawe yye ameolewa ameachka hakuzaa na jna la brown berry ne jna la fb hahaha na pea kuna seku aletamka tukewa group tukealekwa mezraa akewa anasema kuwa yye anatamany awe na bissnnes ya kuuza unga mw nelezanea kuwa anatanea kumbe kwely .mh yye anapenda kuenjoy kela wweekend humkosy disco na nenavojua me kuwa anavuta bangy na analewa bas sasa ndepo nelepostaajabu kuwa amekamatwa na kwlo 4 ya unga ela allah atamjalea atatoka enshallah arudy nchy yake
ReplyDeletekama kweli kafanya na yeye anyongwe. yeye angeuwa wangapi? ache sheriya efate mkondo wake. Za mweezi 40, seeku yake imifeeka.
ReplyDeleteAllah atuheed insha Allah na atupe muelekeo mema kwa sote ummat wake . Ameen
ReplyDeleteSerekali ya tanzania hawawezi kufanya lolote coz yeye ana passport ya oman na imeoneshwa kwenye video yke so hapo katika agreement ya dunia inatakiwa oman ndo imfuatilie si tanzania
ReplyDeleteSerekali ya tanzania hawawezi kufanya lolote coz yeye ana passport ya oman na imeoneshwa kwenye video yke so hapo katika agreement ya dunia inatakiwa oman ndo imfuatilie si tanzania
ReplyDeleteNa mimi nasema tusingipiga kelele kwa watoto wetu ndugu zetu na kil mja wa kiislam hata kama mkiristo pia ni mtu huwezi kujua pengine angeslim akawa muislam ila huu unga ndo unaotufanya tukawa hatuna raha si majumbani si nje unakabwa kwakua mtu anataka pesa apate unga jamani halafu mnawaonea huruma hao waletaji hapana mm nasema sheria ifate mkondo wake lea mashekhe wetu wameekwa ndani kisa hakijulikani znz upuuzi mtupu wanateswa hao wanoleta unga ndo muwaombee unacho kipannda ndicho utavunana hayo ndio mavuno yake anyongwe tu mm sina imani na watu hao
ReplyDeleteTetetete..
ReplyDeletePunguzeni ghadhabu..
Mmh! Mbona mnachinja mbuzi wa jirani?
Kwanza.. Wabongo waliopo ulaya na marekni mnawaitaje? Mbona wakija kutembea mnajigonga,: mtz huyu!
Leo dadayenu mnamruka kwavile karamba galasa! Angeramba dume akatangwazwa ktk tv kawa MISS ulaya au egypt au oman, mngeruka mkabwata...oooh mtz huyo!
Acheni hayo..mnajigonga tu wabongo ndo tulivyo.