Thursday, March 3, 2016

@Le Mutuz Nation kesho nitaondoka kuelekea Lagos/Nigeria Safari Sponsored by Africa Magic/MultiChoice & DSTV/Tanzania kuripoti "2016 AFRICA MAGIC VIEWERS CHOICE AWARDS" na kushoto ni Chumba cha Hotel ya Maison Fareinheit nitakayofikia na kulia ni chumba nitakachokaa Hotel ya Le Meridian at Dubai!!
- Nitaondoka kesho kwenda Lagos na kurudi bongo Tarehe 7 na kuondoka tena tarehe 8 kwenda Dubai ambako I am sponsored by Emirates Airlines for the same purpose kuripoti ya event ya Emirates Farm kwenye my Social Media tools! now I hope kuna watakaojifunza hapa kwamba tutumie mitandao ya kijamii vizuri na haya ndio matokeo yake!!
- le Mutuz Nation




Ibra Hamy Yes Fantastic..
Hamza Zongo
Hamza Zongo Ok limutuz. All the best
Latisia Mponela
Latisia Mponela Safi sanaaaa inapendeza kaka safari njema
Eunice Mboineki
Eunice Mboineki ufke salama mungu akuongoze
Neema Mgaya
Neema Mgaya Safe journey bro zawadiii
Abdulrahmani Rashidi
Abdulrahmani Rashidi Hongera sana dua njema tunakuombea kwa safari hizo
Revo Alexandria Jr.
Revo Alexandria Jr. Respicius Francis you can learn something here
Honester Hilary
Honester Hilary Safari njema mungu akutangulie


0 comments:

Post a Comment