@Le
Mutuz Nation Straight Talk!!:- Narudia tena Binadam hafanikiwi kwa
kutegemea misaada, MCC wanaweza kubaki na misaada yao Tanzania
tutaendelea kuongozwa kama wao USA kwa kutumia Sheria sio Misaada,
Maalim Seifu kama alidhulumiwa kwenye uchaguzi alitakiwa kwenda
Mahakamani sio MCC, Al-Gore mgombea urais wa USA walipomuibia kura
alienda Mahakamani hakuenda China kushitaki Serikali ya USA ifutiwe
mikopo!!.....Kuna Wabongo wenzetu kwa kukosa hoja za kushindana na
Serikali ya Magufuli wameamua kulibebea
bango hili jambo la kitoto sana, ila ni hao hao siku za nyuma
walituambia CUF ni chama cha mashoga walipowahitaji wakajiunga nao,
baadaye wakasema Lowassa ni Shetani walipohitaji pesa zake wakasema ni
Malaika, hao hao walituambia hatuhitaji hela za MCC leo hao hao wanasema
tunazihitaji sana!!
- Masikini wa Mungu huwa wanaimbishwa tu nyimbo na Viongozi wao bila hata kuuliza mtungaji ni nani, hahahaha wamesahau kwamba kina Mobuttu, Savimbi na Saddam Hussein waliwahi kuimba nyimbo kama zao USA ilipomaliza kazi nao wakawaua, akili ya kushikiwa na changanya na yako sometimes sio kila kitu lazima uamuliwe na form six. Zanzibar ni nchi huru yenye Sheria zake ambazo kama za USA zinataka mtu aliyenyimwa haki zake kwenda mahakamani sio kwenda nje ya nchi kulilia misaada ikatwe ili haki yake ipatikane, poleni sana wapinzani ila Tanzania tutakuwa wendawazimu kukubali kuburuzwa kwa sababu ya misaada, TO HELL WITH MCC!! - le Mutuz Nation

0 comments:
Post a Comment