Posted by Williammalecela.com on Sunday, March 06, 2016
 |
| Le Mutuz Nation akiwa Hotelini kwake na mtoto wa Kikenya Boyo, aliyekutana naye kuanzia Uwanja wa Ndege wa Nairobi jana leo live wakiwa at Maison Fahrenheit Hotel mjini Lagos/Nigeria ambako Le Mutuz ameenda kuiwakilisha DSTV na Msichana huyu anaiwakilisha DSTV Kenya. Habari kutoka Lagos zinasema Le Mutuz ameonekana na Mbebez huyo toka alipotua uwanja wa Ndege wa Murtala, na wamekuwa pamoja kila mahali mjini huko. |
 |
| Hizi ni baadhi ya picha zilizokutwa kwenye Instagram ya Le Mutuz akielezea chumba anachoishi na Mbebezz huyo huko Lagos. |
0 comments:
Post a Comment