Wednesday, March 30, 2016

Morning Guys again ninaunga mkono msimamo wa Rais Magufuli kwamba the Americans hawawezi kutuamulia mambo yetu ya Ndani kwa sababu tu ya msaada wa Shillingi Trillion Moja HAPANA BIG HELL TO THE NO!....Zanzibar ni Nchi huru yenye Katiba yake na utaratibu wake wa Uongozi hata huko USA hakuna Sheria inayoruhusu Mgombea Urais kujitangaza Mshindi kabla ya Tume ya Uchaguzi haijatoa matokeo kama alivyofanya Maalim Seif na besides Kisheria sio wajibu wa Rais Magufuli kuingilia kati Uchaguzi wa Zanzibar ila wajibu wake ni kuhakikisha Zanzibar kuna Usalama hasa wa Serikali na Viongozi wake waliochaguliwa na Wananchi...Kuna Viongozi wa Upinzani wameanza toka Jana kufurahia kusitisha misadaa na kujiunga na Wazungu kututishia kwamba eti kwa sababu hatutapata tena misaada yao basi tutaumia that is very sad ...ninarudia tena the Americans hawaijui Demokrasia ila wanajua Zanzibar kuna mafuta ambayo hawatayapata kwa urahisi na bure kwa Serikali ya sasa ndio maana wanataka Rais awe mtu wao kama walivyofanya Libya, Iraq na Nigeria tutakuwa mwendawazimu sana kukubali kuimbishwa Wimbo na the Americans...na wale wapinzani mnaoimba Wimbo wao waulizieni walioimba Wimbo wa the Americans kabla yenu kina Mobuttu, Savimbi, Bin Laden, Saddam Hussein, Noriega, na Bokassa hawa ni baadhi ya Viongozi wa Dunia waliotumika sana kuimba Wimbo wa the Americans walipomaliza kuwatumia wakawaua Mara moja so much for the King of Democrasia.... kwenye Uchaguzi wa kwanza wa kura za Sasa New Hampshire Trump alishinda lakini wakamuibia kura ili mgombea wanayemtaka Cruz ashinde sisi hatukupiga kelele Al-Gore alishinda Urais wao lakini kwa vile Mgombea mwenza alikuwa Mu Israel wakamuibia kura akashindwa hatusitisha Urafiki nao....the Americans hawakumtaka JFK kuwa Rais wao cause kwanza alikuwa ni Catholic na Irish not Anglo-Sax wakamuua sisi hatukusema kitu na alikuwa Rafiki yetu sana Leo Maalim Sefu supposedly kadhulumiwa kura badala ya kwenda mahakamani kama Al-Gore alivyofanya anawakimbilia MCC watunyime misaada mambo mengine Wazungu sometimes wanakuwa kama Watoto wadogo I mean tuaishi kwa kuongozwa na Sheria sio misaaada you the Americans please Go Home Yankees! - le Mutuz

1 comment:

  1. All true Lemutuz kwa nn nchi yetu tuyumbishwe kwa ajili ya misaada? Hapana tunaomba Sie raia au wanachi wa Tanzania tusimame imara sana na Rais wetu awe na msimamo wake hawa wanataka kutufanya watumwa wao wameona kuna mafuta gas wanajazana huko na kupeleka makwao sisi wananchi tunaambulia umaskini. Please President kuwa na msimamo wako tusiogope na tusiyumbishwe sababu ya misaada yao, nchi yetu ni tajiri sana tunaishi bila ya misaada yao. Hawa wakiingia tu vile wanavyotaka i mean tumekwisha siombei vita lakini mwisho wake utakuja kuwa mbaya sana. Na huyu maalim Seif ni Bogaas tu akajambe mbele ya safari huko. Mungu ibariki Tanzania. Mbariki President Magufuli pamoja na watu wake na Africa kwa ujumla. Mugabe ndo anawaweza hawa watu.

    ReplyDelete