Posted by Williammalecela.com on Monday, March 14, 2016
Baada ya kimya cha muda mrefu Dogo Janja kutoka Tip Top Connection2016 aliachia hit single yake ya ‘My Life’, ngoma hiyo Dogo Janja amebadili ni tofauti na tulivyomzoea katika ngoma zake za nyuma. March 14 Dogo Janjakaachia rasmi video ya hit Single ya‘My Life’ enjoy mtu wangu.
0 comments:
Post a Comment