Director hanscana ameuweka wazi umma wa Tanzania kuwa video ya My Life ya msanii Dogo Janja itaachiliwa rasmi ijumaa hii ya tarehe 4.
Director huyo alipost picha instagram inayoonyesha kuwa amemaliza ku edit video hiyo na kuandika maneno yafuatayo .. “My time line …. ready for releasing day … IJUMAA HII
#somethinglikemelgibson” kama inavyoonekana kwenye picha chini.

0 comments:
Post a Comment