![]() |
NEW LUSHOTO YETU ni kundi la whatsup lililozaa taasisi ya U.D.I yaani USAMBARA DEVELOPMENT INNITIATIVE Lengo likiwa kushiriki kikamilifu ktk harakati za maendeleo ya milima yetu ya USAMBARA pia kuunga mkono dhana ya 'HAPA KAZI TUU' kwa ushirikiano na serikali mashirika binafsi mashirikka ya umma na watu wote wenye nia ya dhati.
KWA PAMOJA TUNAWEZA Antepass Mbughuni/ZUMBE MTANA (Chief admn/board member NEW LUSHOTO YETU/U.D.I)"
|
Tuesday, March 29, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






0 comments:
Post a Comment