Monday, March 14, 2016



"@Please join me to Salute my Super Mom Mkuu mpya wa Mkoa wa Shinyanga Mh. Anne Kilango Mungu amuongoze zaidi!" - le Mutuz

Dynes Macha congration..big mumy
Maria Christian
Maria Christian Kwa Huyo mama sinaga cha kusema Le Mutuz Nation yuko vizuri na ni mchapakazi sana yaani wana shinyanga hongereni.Hongera mama Annah Kilango.nimefurahi muno
Nasra Ahmed
Nasra Ahmed hongera kilango
Mgayan Rose
Mgayan Rose She real deserve! Congratulations to her!
Neema Mgaya
Neema Mgaya Amen mama kila la heri
Mabula Fortunatus
Mabula Fortunatus Uzuri ni kwamba Mama anajulikana sana kwa utendaji wake. Naamini Mkoa umepata mtendaji zaidi. Cha msingi ni kuendelea kuiombea nchi na viongozi wake bila kusahau kujiombea na sisiLe Mutuz Nation.
Angel Peter
Angel Peter Ongera mama
Libby Kaps
Libby Kaps Hongera mama
Neema William Kafute
Neema William Kafute pongezi nyingiiii sana
Zubeir Bundalla
Zubeir Bundalla Tunamkaribisha sana Shinyanga
Chiganga Dorcas
Chiganga Dorcas Congratulations mom... Huogopag mtu ww nakumbka bunge flan watu walitaka kulia, mwenyezi mungu akusimamie
Ernest Kale Kyungu
Ernest Kale Kyungu Mama ni JEMBE. Bila yeye nisingeweza kufanya kazi wilaya ngumu kama Same. Alitupigania sana. Tukapata moyo na ari ya kazi. Mungu ambariki siku zote!
Honester Hilary
Honester Hilary Hongera zake
ELinaike Dube
ELinaike Dube jembeeeeeee hilo Mungu akuongoze
Godbertha Kinyondo
Godbertha Kinyondo Iron Lady--congratulations
Maria B Malongo
Maria B Malongo Hongera sana mama, barikiwa sana
Honey Ahmed
Honey Ahmed Hongera sana
Dennis Mwangupili
Dennis Mwangupili Mama hodari
Esther Lulu
Esther Lulu Namkubali sana mama Kilango, hapo kazi tu; hongereni Shinyanga mmepata jembe,
Eliangireriasia Lillian
Eliangireriasia Lillian Mpe hongera nyingi sana Le Mutuz Nation... Mungu na akamtangulie, akamlinde, akampe nguvu, hekima na maarifa kwenye kila jambo linohusu hii kazi yake mpya.

0 comments:

Post a Comment