Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akizungumza na Mwakilishi wa DFID -Tanzania Bwana Vel Gnanendran aliyemtembelea Ofisini kwake leo mtaa wa Luthuli. Ujumbe huo wa DFID umekuja kuwasilisha program ya mazingira na mabadiliko ya tabia Nchi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiwa pamoja na ujumbe wa DFID Tanzania uliofika Ofisini kwake kumtembelea na pia kuwasilisha program ya mazingira na mabadiliko ya tabia Nchi.
0 comments:
Post a Comment