Saturday, March 12, 2016

March  11 2016 Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira na Mbunge wa  Bumbuli Mh .January Makamba aliwatembelea wanakijiji wa kata ya Usambala kijiji cha Mpunda na kijiji cha Kihitu na Bazo vilivyopo kata ya Vuga.

Makamba ametembelea vijiji hivyo ili kuwashukuru wanakijiji hao kwa kumchagua tena pia kuendelea kukiamini Chama cha Mapinduzi, pamoja na ilo Makamba amekagua miradi mbalimbali ya kimaendeleo na kupokea kero za wananchi na kutafuta majibu ya namna gani wanaweza kukabiliana nazo.
IMG_7098
January Makamba akizungumza na wanakijiji wa jimboni kwake
IMG_7122 IMG_7121 IMG_7120 IMG_7119
IMG_7118 IMG_7117 IMG_7115 IMG_7111 IMG_7108 IMG_7107IMG_7106 IMG_7103 IMG_7100 IMG_7102 IMG_7078 IMG_7079 IMG_7084 IMG_7095 IMG_7096

0 comments:

Post a Comment