Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Mhe. Daniel Kidega (katikati) akiongoza ufunguzi wa Mkutano wa tano wa Bunge hilo jana jijini Dar es Salaam. Kulia Kwake ni Spika wa Bunge la Tanzania Mhe Job Ndugai na Kushoto ni Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa.
Spika wa Bunge akihutubia ufunguzi wa Mkutano wa tano wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) jana jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Spika wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Daniel Fredrick Kadega baada ya kuhutubia Mkutano wa Tano wa Bunge la Afrika ya Mashariki kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es salaam Machi 8,2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika ya Mashriki, Kanda na Kimataifa, Balozi Augustono Mahiga akiapa kuwa Mbunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki katika Mkutano wa Tano wa Bunge hilo uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Kassim majliwa kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam Machi 8, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia Mkutano wa Tano wa Bunge la Afrika ya Mashariki kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es salaam Machi 8,2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Shyrose Bhanji baada ya kuhutubia Mkutano wa Tano wa Bunge la Afrika ya Mashariki kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es salaam Machi 8,2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment