Monday, March 21, 2016

k1Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akipekuwa baadhi ya nyaraka zinazoonyehsa jinsi wizi wa fedha za serikali  uliofanywa kwenye  bandari ya Dar es salaam  ukihusisha mabenki wakati akizungumza na  Mawakala wa Forodha na Bandari kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Machi 21, 2016.

k2Baadhi ya Mawakala wa Forodha na Bandari wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salam Machi 21, 2016.
(Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu)

0 comments:

Post a Comment