TASWIRA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU JESSIE CHIUME KWA SAFARI YAKE YA MILELE TANZANIA, SHUGHULI HIZO ZA KUAGA MWILI ZILIFANYIKA FLYNN MEMORIAL HOME YONKERS. NY, SIKU YA JUMATANO MURCH 2. NA KUSAFIRISHWA ALHAMIS MARCH 3, NA MAZISHI KUFANYIKA MARCH 5, MAKABURI YA KINONDONI DAR-ES-SALAAM. KWA PICHA ZAIDI NENDA SOMA ZAIDI
Msiba wa Jessie uliwagusa wengi sana ukiacha ndugu na Watanzani hata wafanyakazi wenzake pia waliguswa na walishindwa kujizuia kutoa machozi wakati wa kuaga mwili wa marehemu. Watu walijitokeza kwa wingi hadi kukosa nafasi na kisha kuamishiwa kwenye chumba kingine na kufatilia misa kwa njia ya TV kubwa ya ukutani.
Sonia mdogo wa marehemu akiwa hana la kusema wala kuamini kuwa anachokiona ni kweli kimetokea.
Kaka mkubwa wa marehemu bwana Michael Chiume
Mdogo wa marehemu Nathan Chiume
Mdogo mwingine wa marehemu akiwa pembeni na mchumba wake
Wafanya kazi wenzake wakiwa na nyuso za majonzi wakifarijiwa na Dr, Temba mweka hazina wa New York Tanzania Communities.
Hapa ni familia ya marehemu kutoka kulia ni Nathan, Michael, mama wa marehemu, Sonia na mume wa marehemu.
Kwa picha zaidi http://tembaphoto.com/index.php?sphoto=1
0 comments:
Post a Comment