Wanasema ukitaka kufanikiwa kwenye biashara, fanya ile ambayo inahusisha hobby yako. Kwamba kama unapenda fashion, fanya biashara ya mavazi au urembo, na vipi kama unapenda bangi kama Wiz Khalifa? Mule mule!
Rapper huyo ambaye huenda baada ya Snoop Dogg, anashika nafasi ya pili kwa kupenda kuvunta ganja aliamua kuwekeza kwenye biashara ya mmea, Khalifa Kush.
Akiongea kwenye interview ya GQ, Wiz anasema haoni noma kupromote biashara yake kwenye mitandao ya kijamii.



0 comments:
Post a Comment