Posted by Williammalecela.com on Thursday, April 21, 2016
 |
| The King Of All Bongo Social Media Network Le Mutuz Nation at Johannesburg South Africa's Maslow Hotel speaks Out Live!! | |
"....Maisha ni safari ndefu na ukizaliwa Mwanaume ni wajibu wako kuhangaika na kupitia Milima na Mabonde, ninamshukuru sana Mungu wangu kwa kunipa Maisha marefu enough mpaka kufikia leo. Mungu alinipa nafasi ya kutembelea 90% ya Dunia nilikuwa nimebakiza Nchi moja tu South Africa ambayo hatimaye nimefanikiwa kufika juzi sasa kuhusu safari roho yangu imetulia. Ndoa nilishasahau Miaka 5 iliyopita now I am just Super Happy that is all I know na ninamuomba Mungu anipe maisha marefu zaidi cause maisha ni matamu sana"
0 comments:
Post a Comment