Saturday, April 30, 2016

 Inashangaza! Wakati wengi wanaamini mzazi hakosei, kwa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ hali ni ya tofauti kwani licha ya kuaminika ana ukwasi wa kutosha, analalamikiwa
kutomsaidia baba yake waliyetofautiana, Abdul Juma kiasi cha kukutwa akifanya kibarua cha kumenya viazi vya chipsi ili apate senti za kujikimu, Risasi Jumamosi limeinyaka.

0 comments:

Post a Comment