Jana
kulikuwa na sinto fahamu baada ya tetesi kusemekana kuwa watangazaji
maarufu wa kipindi cha Power Breakfirst cha Clouds FM Gerald Hando na PJ
Wamefukuzwa kazi,
leo tetesi hizo zimezidi kushika mizizi baada ya watangazaji wa zamani wa kipindi hicho Phina Mango na Masoud Kipanya walioacha kazi miaka kadhaa nyuma Kushika nafasi zao...Muda huu nao andika hii habari wako On Air wanatangaza Sambamba na Babra na Fredwaa.

0 comments:
Post a Comment