Posted by Williammalecela.com on Thursday, April 21, 2016
Mh. Kafana Mussa (Kimimbi) diwani wa kata ya Kiwalani (CUF),
ameshinda
nafasi ya Unaibu Mayor wa jiji la Dar ktk uchaguzi uliofanyika leo.
Matokeo ni kuwa CUF (UKAWA) wameshinda kwa kura 16, na CCM kura 10.
0 comments:
Post a Comment