Posted by Williammalecela.com on Friday, April 22, 2016
Kweli
pesa ni kila kitu.Hizi ndio pesa na raha yake,sio wale watani zangu wa
Nyanda za Juu Kusini,unakuwa na pesa halafu mke unamuweka kama "msukule"
anakaa tu dukani siku nzima.
Bata
mara moja moja kama hivi si haba,unakula bata na watoto na wife hapa na
pale..Mambo ya kuja Dsm kwa kupanda fuso peleka huko...
0 comments:
Post a Comment