Thursday, April 14, 2016

Kuna wakati Jokate na Lulu waliwahi kumshutumu Diva kuwa amekuwa akifungua akaunti zingine za Instagram na kuwatukana.
Diva amezungumza na Bongo5 kujibu tuhuma hizo na kusema mambo makubwa ikiwa ni pamoja na kumuita Jokate ‘feki.’ 

0 comments:

Post a Comment