Monday, April 4, 2016

LADHA 3600 ni kipindi kipya kinachoanza tarehe 4/4/2016 siku ya Jumatatu yaani leo,
kipindi hiki kitakua kinaruka hewani kila siku Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa tisa alasiri hadi saa kumi jioni, Kikiwa na Mtangazaji maarufu Jabir Salehe alimaalufu kama kuvichaka kibongetozi, akiwa na rdj Blackie.


Efm katika kuwapa burudani ya kutosha wasikilizaji wake imeanzisha kipindi hiki cha vijana ili iwape ladha kabambe za muziki wa kisasa unaopendwa mjini zaidi pamoja na matukio, mahojiano na habari mbalimbali zinazohusu burudani kwa ujumla, ni kipindi cha vijana.

0 comments:

Post a Comment