Saturday, April 16, 2016


Ijeoma Nnaj-Mshindi 
Hili ni shindano lingine tena linalo husisha wadada wenye maumbo yao.....Wadada walio Jazia Jazia huko Nigeria. Shindano hili lilifanyika usiku wa Jana katika Hotel ya Federal Palace Hotel & CasinoNa mtoto Ijeoma Nnaji akitokea Kano State ndio alieibuka mshindi....ambae amejinyakulia brand new car....Hii inabidi ije na HAPA BONGO!!!brand new car....Hii inabidi ije na HAPA
BONGO!!! 

0 comments:

Post a Comment